PanLex

Kiswahili Vocabulary

64754 entries from 94 sources
7 additional sources obtained by PanLex and waiting to be analyzed,
containing at least 14013484 entries in this language.
aina ya mmea
aina ya mmea ulio na majani ya manyoya umbo la moyo na huwasha unapogusa ngozi
aina ya mmea yenye sumu
aina ya mnyama amefanana na panya
aina ya mtego
aina ya mti Scarlet gourd
aina ya mti ambao unapatikana sehemu za matope
aina ya mti wa kutambaa Scarlet gourd
aina ya mti wa Ulaya
aina ya mti wenye majani yanayotumika kama dawa
aina ya mti wenye maua meupe
aina ya mti wenye miiba mingi
aina ya muhogo
aina ya ndege Emerald-spotted Wood Dove
aina ya ndege aishiye chini na kuchimba mashimo
aina ya ndege aliaye porini
aina ya ndege ambao kuonekana kwao ishara ya mvua
aina yandege ambaye anakula kupe ngʼombeni
aina ya ndege mdogo mwenye rangi ya udongo gregarious
aina ya ndege mwenye kichwa chembamba mfano wa nyundo hamerkop
aina ya ndege mwenye kishungi na mkia mrefu white-bellied go-away bird
aina ya ndege mwenye mleli mwekundu
aina ya ndege wadogo wanaoruka kwa makundi red-billed quelea
aina ya ngoma kind of dance
aina ya ngoma ambapo mbegu za mbambakofi hutumiwa
aina ya ngoma ambayo hutumia ngoma na nzumari
aina ya ngoma ambayo mpigaji ngoma hupiga ngoma akiwa juu ya ulingo na wachezaji hucheza kwa mzunguko
aina ya ngoma iliyowambwa sehemu zote
aina ya ngoma inayochezwa kutumia kifaa fulani ambacho hutoa sauti kinapokwaruzwa
aina ya ngoma inayochezwa na kuimbwa na watu ambao huvaa nguo nyekundu na hufanywa kwa kufukuza pepo
aina ya ngoma inayochezwa na waganga wakati mganga mwenzao amekufa
aina ya ngoma inayochezwa na wanawake wakati wa matanga
aina ya ngoma ya kupunga pepo ambapo watu hupiga makofi na kupiga vyupa chini badala ya kupiga ngoma ama kayamba
aina ya ngoma ya pili kwa ukubwa
aina ya nguo ya wanaume ya zamani
aina ya njiwa
aina ya njugu chestnut
aina ya noti ya muziki
aina ya nyasi species of grass
aina ya nyasi ambayo inatambaa nchini kwa haraka
aina ya nyoka kwenye sumu poisonous
aina ya nyoka mdogo
aina ya nyoka mkubwa anayefikiriwa kimawazo tu
aina ya nyoka mkubwa anayependa kuwinda panya mole snake
aina ya nyoka mkubwa mpole lakini mwenye sumu kali puff adder
aina ya nyoka mkubwa sana
aina ya nyoka mrefu sana
aina ya nyoka mwekundu kuonekana kwake ishara ya mvua kind of snake
aina ya nyoka mwenye sumu ambaye ana mlia wa manjano kila upande
aina ya nyoka wa rangi ya kijani mwenye sumu green mamba
Kiswahili English