mahaiba |
charm
- character
- grace
|
mahail |
place
|
mahaini |
traitor
- renegade
|
mahajazi |
ship
|
mahaji |
pilgrim
|
mahakama |
court
- place of judgement
|
Mahakama Kuu ya Kimataifa |
International Court of Justice
|
mahakama ya kijeshi |
|
mahakikisho |
evidence
- deposition
- testimony
- proof
|
mahakimu |
leader
- chief
|
mahakma |
court
- place of judgement
|
mahala |
place
- district
- area
- situation
|
mahali |
place
- square
- plaza
- public square
- district
- area
- situation
- piazza
- place of distinction
- location
- position
- site
- scene
- esplanade
- whereabouts
- field
- post
- venue
- spot
- capacity
- station
- office
- locale
- appointment
- job
|
mahali ambapo |
|
mahali ambapo waganga hukaa na kufanya kazi zao |
|
mahali ambapo watu hunwa pombe |
|
mahali ambapo wavulana hufundzwa tabia nzuri na wazee |
|
mahali ambapo wazee hujifunza kuimba na kucheza |
|
mahali dhahabu inapochimbuliwa |
|
mahalifu |
mutineer
- rebel
- insurgent
- lawbreaker
|
mahali gani? |
|
mahali ilipopandwa misonobari |
|
mahali ilipowekwa mizinga ya nyuki |
|
mahali jambo fulani lilipoanzishwa |
|
mahali kati ya mito miwili |
|
mahali kwenye dari pa kuwekea na kuhifadhia vitu |
|
mahali mauji wanaponyongwa kwa sheria |
|
mahali mbali panapojulikana ama eneo kubwa mahali popote |
|
mahali mtoni penye changarawe nyingi |
|
mahali mtu alihukumiwa asitoke |
|
mahali ndani |
|
mahali pa |
instead of
|
mahali pachomwapo maiti |
|
mahali padogo |
|
mahali-pahali |
|
mahali pa huduma ya kwanza |
|
mahali pa jirani |
|
mahali pa joto |
|
mahali pa juu |
|
mahali pa kazi ya kufundisha |
|
mahali pa kuabudu |
place of worship
|
mahali pa kuangalia mandhari na kupumzika |
|
mahali pa kubatiza |
|
mahali pa kufinyanga matofali |
|
mahali pa kufuga nyuki |
|
mahali pa kuhifadhi mizigo |
left luggage
|
mahali pa kuishi |
|
mahali pa kujifunza kupiga risasi |
|
mahali pa kujikinga na hujuma za mabomu |
|
mahali pa kukaa |
|