PanLex

Kiswahili Vocabulary

64754 entries from 94 sources
7 additional sources obtained by PanLex and waiting to be analyzed,
containing at least 14013484 entries in this language.
aina ya dundu mkubwa
aina ya dundu mwenye madoa ya manjano wenye makali nyuma ya kichwa kinachotumika kukata vitu vidogo kama nyasi
aina ya hirizi inayofungwa kichwani
aina ya hirizi inayofungwa kichwani na shanga
aina ya homa
aina ya jibini
aina ya kabichi
aina ya kalamu ya wino
aina ya kapu
aina ya karatasi ya plastiki
aina ya kenge
aina ya kibuyu kinachotumiwa na waganga kutilia dawa
aina ya kifaa kinachotokana na kibuyu
aina ya kijidudu
aina ya kijumba kinachotumiwa kuwekea vyungu vya dawa
aina ya kikapu kizito kinachotumiwa kuwekea maji
aina ya kileo kitokanacho na kiazi au nafaka
aina ya kinai
aina ya kinyonga mdogo
aina ya kisasa kabisa
aina ya kito
aina ya kitoroli
aina ya kundi la nyota
aina yaleso
aina ya madawa ya kulevya
aina ya madini nyepesi nyeupe
aina ya madini ya rangi ya samawati
aina ya maharagwe
aina ya mamba katika Amerika Kusini
aina ya maneno
aina ya matunda
aina ya matunda ya mwituni
aina ya matunda ya mwituni yenye rangi ya manjano na mbegu zake zinaliwa
aina ya mayai ya samaki yanayoliwa
aina ya mboga
aina ya mchezo
aina ya mchezo wa karata
aina ya mchezo wa watoto ambapo vijiwe vidogo hutolewa ama huingizwa kishimoni baada ya kudaka jiwe kubwa
aina ya mdudu
aina ya mdudu ambaye hufukua vishimo kando kando ya nyumba
aina ya mdudu anayepatikana juu ya miti mwenye tabia ya kudondosha aina ya maji
aina ya mdudu anayependa matunda
aina ya mgunga
aina ya mimea inayolika kwa mbichi katika saladi
aina ya mjusi
aina ya mjusi ambaye hupanda miti
aina ya mjusi mdogo anayetembea kwa kasi kuliko aina nyingine
aina ya mjusi mwenye miguu mifupi aliyefanana na nyoka
aina ya mkaja
aina ya mkuyu
Kiswahili